.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 8 Machi 2016

MTENDAJI MKUU WA SUNDERLAND AJIUZULU KUTOKANA NA KESI YA ADAM

Mtendaji Mkuu wa Sunderland, Margaret Byrne amejiuzulu kufuatia kesi ya mchezaji wao Adam Johnson ya kumdhalilisha mtoto.

Johnson, 28, anakabiliwa na kifungo cha jela cha miaka minne hadi kumi baada ya kutiwa hatiani kwa kujihusisha kingono na mtoto wa kike wa miaka 15.

Klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Uingereza imekosolewa kwa kumruhusu winga huyo Johnson kucheza soka baada ya kukamatwa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni