.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 8 Machi 2016

MVUMBUZI WA EMAIL AFARIKI DUNIA NCHINI MAREKANI

Mtaalamu wa programu za komputa Mmarekani Ray Tomlinson ambaye alibuni email na kuweka matumizi ya alama ya @ amefariki dunia kwa shambulio la moyo akiwa na umri wa miaka 74.

Ray Tomlinson alivumbua mfumo huo wa kutuma ujumbe wa kielektroniki unaoweza kutumwa kwa watu wanaotumia komputa tofauti mwaka 1971, ambapo awali jambo hilo halikuwa likiwezekana.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni