.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 21 Machi 2016

RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR, DK. AMANI ABEID KARUME APIGA KURA KATIKA KITUO CHA KIEMBESAMAKI

Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akiwasili katika Kituo cha Kupigia Kura cha Skuli ya Msingi Kiembesamaki Zanzibar, akiwasili katika Kituo hicho mchana kwa ajili ya kupiga Kura yake kumchagua Viongozi wa Zanzibar
Dk Amani Abeid Karume akiingia katika Chumba cha Kupigia Kura katika Skuli ya Kiembesamaki Msingi.
Makarani wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC wakiangalia Kipande cha kupigia Kura cha Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Karume alipowasili kwa ajili ya kupiga Kura yake.
 Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Karume akisubiri karatasi ya kupigia Kura.

Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akipiga Kura yake katika Kituo cha Skuli ya Msingi Kiembesamaki Zanzibar.

Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akipiga Kura yake katika Kituo cha Skuli ya Msingi Kiembesamaki Zanzibar.
Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akitoka Chumba cha kupigia Kura katika Kituo cha Skuli ya Msingi Kiembesamaki Zanzibar.baada ya kupiga kura yake leo mchana majira ya saa tisa.
Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akiondoa katika Kituo cha kupigia Kura cha Skuli ya Msingi Kiembesamaki Zanzibar baada ya kupiga kura yale leo mchana.
Mwananchi wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar akisubiri kukabidhiwa karatasi ya kupigia kura na Karani wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Kituo cha Skuli ya Msingi Kiembesamaki Zanzibar. Kwa hisani ya ZanziNews

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni