.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 19 Machi 2016

RAIS WA TANZANIA, DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WATENDAJI WAKUU WA NSSF, TBC NA RAHCO

                                                                                                              Dk. Ayub Rioba 

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa watendaji wakuu wa taasisi tatu za serikali kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo.

Rais amewateua Profesa Godius Kahyarara kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la hifadhi ya jamii ( NSSF ), Dk. Ayub Rioba Chacha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania ( TBC ) na Dr. Mussa Mgwatu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya hodhi ya rasimali za reli Tanzania ( Rahco )

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni