.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Machi 2016

SUPER D AENDELEA KUWANOWA VIJANA KATIKA MCHEZO WA MASUMBWI

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwafundisha jinsi ya kutupa makonde mabondia Isihaka Lusinde wa pili kushoto, Castory Manjulungu na Miraji Issa wakati wa mazoezi yao yanayofanyika katika GYM ya Uhuru iliyopo kariakoo Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbi ncgini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwafundisha jinsi ya kutupa makonde mabondia Isihaka Lusinde kushoto, Castory Manjulungu na naMiraji Issa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D ' akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde bondia chipkizi Castory Manjulungu jinsi ya kutupa makonde yalionyooka
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia chipkizi Castory Manjulungu Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini akiwasimamia kwa makini mabondia Mohamed Muhuzi kushoto na Yusufu Bahati wakati wakiwa mazoezini Picha na SUPER D BOXING NEWS

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni