GARI LINAUZWA. Toyota Land Cruiser GX ya mwaka 2003 inauzwa. Ipo kwenye hali nzuri sana na ina uwezo wa kusafiri kwenda popote nchini.
Ipo Dar es Salaam. Cc 4200, Disel Engine. Imetembea kilomita 125,00. Kwa mawasiliano piga simu namba 0712500595.









Hakuna maoni :
Chapisha Maoni