.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 1 Machi 2016

WILL SIMTH ATINGA KUPIGA PICHA ZA FILAMU MPYA JIJINI NEW YORK

Will Smith akiwa katika hali ya furaha jana alionekana akiwa katika upigaji picha wa filamu Jijini New York City baada ya kusisia utoaji wa tuzo za Oscars.

Muigizaji huyo mwenye umri wa miaka 47, alikatiza mitaani na pia alipeana mikono na mashabiki pamoja na kutia saini yake kwenye vitu vyao na kupiga bao selfie.

Will na mkewe Jada Pinkett Smith, 44, walipondwa wakati wa Oscars na Mshereheshaji Chris Rock kutokana na kususia tuzo hizo kutokana na kutokuwa na wawania tuzo weusi.
                  Will Smith akimsalimia shabiki wa filamu zake Jijini New York


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni