.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 1 Machi 2016

GARI LA GOOGLE LISILO NA DEREVA LAGONGA BASI CALIFORNIA

Gari moja la Google linalojiendesha lenyewe limeligonga basi Jijini California, hata hivyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.

Hii si mara ya kwanza kwa mgari ya Google yanayojiendesha yenyewe kuhusika katika ajali, lakini safari hii ni mara ya kwanza gari hilo kuwa chanzo cha ajali.

Kampuni ya Google inatarajiwa kukutana na Idara ya Ukaguzi wa Magari ya California, kujadili tukio hilo na kubaini iwapo lawama zielekezwe wapi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni