Nchi ya Pakistani inajianda
kukabiliwa na maandamano zaidi katika mazishi ya aliyekuwa mlinzi
aliyemuua Gavana wa Punjab, katika kesi iliyoishtua nchi hiyo.
Mamlaka za nchi hiyo zimeweka ulinzi
mkali huko Rawalpindi ambapo maelfu wanatarajiwa kuomboleza kifo cha
Mumtaz Qadri aliyengongwa.
Qadri amekuwa akipongezwa kama
shujaa na makundi ya Kiislam, baada ya kumuua gavana Salman Taseer
mwaka 2011 kutokana na kupinga sheria ya kuwakinga viongozi wa dini.
Mumtaz Qadri


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni