.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 31 Machi 2016

WABUNGE WATATU, MH KANGI LUGORA, MH SADIQ MURAD NA MH VICTOR MWAMBALASWA WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU WAKIKABILIWA NA MASHITAKA YA KUOMBA RUSHWA

Wabunge watatu ambao ni wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kuomba rushwa kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Gairo mkoani Dodoma. 

Wabunge hao ni Mh Kangi Lugora ambaye ni mbunge wa Mwibala, Mh Victor Mwambalaswa, mbunge wa Lupa na Mh Sadiq Murad ambaye ni mbunge wa jimbo la Mvomero

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni