Waendesha mashtaka nchini Brazil wanafungua mashtaka dhidi ya
rais wa zamani Lula da Silva kuhusiana na kujipatia fedha kwa njia
zisizo rasmi.
Bw. Silva amekanusha kutenda kosa lolote na kusema kuwa
mashtaka hayo yanamsukumo wa kisiasa.
Tuhuma hizo ni sehemu ya uchunguzi wa kesi kubwa ya rushwa
inayohusiana na kampuni ya umma ya mafuta ya Petrobras.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni