Wanawake wawili waliojitoa mhanga wameshambulia msikiti
kaskazini mashariki mwa Nigeria katika mji wa Maiduguri na kuwauwa
waumini 22.
Mlipuaji wa kwanza alifanya shambulizi ndani ya msikiti, wakati
wa pili akijilipua nje wakati manusura wakitoka nje na kukimbia.
Watu wengine 18 wamejeruhiwa katika shambulizi hilo, jeshi la
Nigeria limesema.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni