Wasanii wakiwemo Missy Elliott, Kelly Clarkson na Kelly Rowland
wameshiriki katika singo ya msaada iliyoandaliwa na Mke wa rais wa
Marekani Michelle Obama.
Singo hiyo ya This Is For My Girls imeandikwa na mtunzi Diane
Warren – ambaye awali aliandika nyimbo kali kama za I Don't Want To
Miss A Thing na Un-Break My Heart.
Michelle amesema singo hiyo ni jitihada za mpango wa Waache
Watoto Wakike Wasome, ambao unalengo la kuimarisha idadi ya wastani wa wasichana
waliosoma duniani.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni