.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 16 Machi 2016

WAZIRI MKUU AAGIZA KUFUTWA UMILIKI WA MASHAMBA MAKUBWA 11 NGARA

 Afisa Ardhi wa Wilaya ya Ngara, Betty Munuo wa Pili kushoto na
Mwenyekiti wa kijiji cha Rwakalaman, Brighton Kemkimba (kulia)
wakimsikiliza Waziri Mkuu wakati alipozunguma katika kijiji cha Kasulo wilayani Ngara machi16, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipitia majina ya watu wanaomiliki ardhi
kubwa katika vijiji vya kasharaza na Rwakalemela wilayani Ngara
aliyokabidhiwa na Afisa Ardhi wa wilaya hiyo Betty munuo katika mkutano
aliohutubia kwenye kijiji cha Kasulo wilyani Ngara Machi 16, 2016.
 

                                                                           (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni