Jumanne, 15 Machi 2016
WAZIRI MKUU, MAJLIWA AMPA POLE PROFESA TIBAIJUKA - AWASILI NGARA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa kahawa iliyoyokaangwa maarufukwa jina la akamwani ikiwa ni mapokezi ya kimila ya Wahaya wakati alipokwenda nyumbani kwa Waziri wa Zamani wa Ardhi, Profesa Tibaijuka mjini Muleba kutoa pole kufuatia msiba wa mama yake mzazi, Aulelia Kajumulo Machi 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa eneo la Benaco wilayani Ngara akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi 15, 2016.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni