.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 6 Aprili 2016

ARTURO VIDAL AIPA BAYERN MUNICH USHINDI

Goli la mapema la Arturo Vidal limeipatia ushindi Bayern Munich dhidi ya Benfica katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Kaika mchezo huo kiungo huyo aliunganisha kwa kichwa krosi ya Juan Bernat iliyotokea kushoto katika shambulizi la kwanza tu kwenye lango la Benfica.
                                  Arturo Vidal akipiga mpira kwa kichwa uliojaa wavuni 
                         Arturo Vidal akipiga mpira kwa kichwa uliotoka nje ya goli 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni