.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 6 Aprili 2016

GAVANA WA MISSISSIPPI ATIA SAINI SHERIA INAYOWAKWAZA MASHOGA NA WASAGAJI

Gavana wa Mississippi ametia saini sheria yenye utata inayotoa ruhusa kwa wafanyabishara kukataa kutoa huduma kwa wanandoa mashoga iwapo wanawakwaza kwa imani ya dini.

Gavana Phil Bryant ametia saini sheria hiyo kuanza kutumika rasmi jumanne huku ikipingwa na makundi ya kutetea haki za binadamu na za biashara.

Gavana Phil Bryant amesema muswada huo unalinda haswa imani za kidini na kudumisha mila.

Wapingaji wa muswada huo wamesema utafaya kutengwa mashoga, wasagaji na watu waliobadili jinsia.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni