.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 6 Aprili 2016

MAMBA MKUBWA MLA NG'OMBE AWINDWA NA KUUWAWA HUKO FLORIDA

Wawindaji nchini Marekani wamemkamata na kumuua mamba mwenye urefu wa futi 15 na uzito wa kilo 362 aliyekuwa akila ng'ombe wao.

Mamba huyo aliuwawa kwa kupigwa risasi huko Okeechobee, Florida, baada ya kutishia kumaliza ng'ombe katika shamba la mifugo.

Mmiliki wa shamba hilo Lee Lightsey, pamoja na kikosi cha wawindaji walibaini kuwapo kwa mamba huyo mkubwa kwenye bwawa lake la ng'ombe.
                       Mtoto wa mfugaji akiwa amelala juu ya mamba huyo aliyeuliwa

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni