.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 6 Aprili 2016

NAIBU WAZIRI WA HABARI AKIWA BAGAMOYO CHUO CHA TASUBA

mbr1
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUba) Bw. Michael Kadinde wa kwanza kushoto akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia wakati wa ziara ya Mh. ya Mheshimiwa Waziri aliyoifanya katika Taasisi hiyo iliyopo Bagamoyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
mbr2
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia akiangalia moja ya tuzo ya ubora iliyopewa taasisi hiyo Afrika Mashariki wakati wa ziara ya Mheshimiwa Waziri aliyoifanya katika Taasisi hiyo iliyopo Bagamoyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili.Kushoto ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa TaSUba Bw. Michael Kadinde.
mbr3
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUba) Bw. Michael Kadinde wa kwanza kushoto akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia wakati wa ziara ya Mh. ya Mheshimiwa Waziri aliyoifanya katika Taasisi hiyo iliyopo Bagamoyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili.
mbr4
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia akimuuliza jambo Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUba) Bw. Michael Kadinde kushoto wakati wa ziara aliyoifanya katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili.
mbr5
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba) Bw. Michael Kadinde wa kwanza kushoto akimuonyesha Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia ramani mpya ya taasisi hiyo wakati wa ziara aliyoifanya katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili.
mbr6
Mwenyekiti wa Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo Mwalimu John Mponda akionyesha umahiri wa kucheza ngoma mbele ya Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura hayupo pichani wakati wa ziara aliyoifanya katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili.
mbr7
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba) Bw. Michael Kadinde wa kwanza kushoto akimuonyesha Kaimu Mkurugenzi Idara ya Sanaa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Leah Kihimbi katikati moja ya sanaa iliyotengenezwa na wanafunzi wa taasisi hiyo wakati wa ziara aliyoifanya Mh. Wambura katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili, wa kwanza kulia ni Afisa Mipango wa taasisi hiyo Bw. Emanuel Bwire.
mbr8
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Nuru Khalfan Mrisho kulia akionyesha zawadi aliyopewa na Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba),anayemkabidhi ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo Bw. Michael Kadinde.
mbr9
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa pili kutoka kulia akiongea na watumishi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba) hawapo pichani wakati wa ziara aliyoifanya katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazoikabili taasisi hiyo, wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Nuru Khalfan Mrisho.
mbr10
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Nuru Khalfan Mrisho kulia akionyesha zawadi aliyopewa na Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba),anayemkabidhi ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo Bw. Michael Kadinde.
mbr11
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa nne kutoka kushoto waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa ngoma wakati wa ziara aliyoifanya katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili,wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Bi. Nuru Khalfan Mrisho na wa kwanza kushoto ni Mtendaji Mkuu wa TaSUba Bw. Michael Kadinde.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni