.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 10 Aprili 2016

BONDIA ANTHONY JOSHUA AMCHAPA KWA KO CHARLES MARTIN

Bondia Anthony Joshua amemdibiti Charles Martin na kuishia raundi ya pili katika pambano lililofanyika London O2 Arena na kutwaa taji la uzito wa juu wa IBF, baada ya kucheza michezo 16.

Muingereza Joshua alimpeleka chini mpinzani wake huyo Mmarekani Martin kwa ngumi nzito ya mkono wa kulia, baada ya Martin kuangushwa tena na refa kulazimika kumaliza pambano hilo.
                     Bondia Anthony Joshua akimpiga konde la kulia Charles Martin
                                 Kombora la Joshua likiwa limemuangusha chini Martin
           Refa akimuhesabia muda Charles Martin ambaye hajitambui vyema kwa kipigo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni