.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 10 Aprili 2016

BONDIA MANNY PACQUIAO ASTAAFU NDONDI KWA USHIDI DHIDI YA TIMOTHY BRADLEY

Bondia Manny Pacquiao amemdunda Timothy Bradley kwa uamuzi wa majaji wote, katika mchezo wake wa mwisho Mfilipino huyo aliotangaza kujiuzulu ndoni.

Majaji wote watatu walimpa ushindi Pacquiao kwa alama 116-110, katika pambano hilo lililofanyika Jijini Las Vegas.

Pacquiao, 37, aliamuangusha chini Mmarekani Bradley, 32, katika raundi ya saba na ya tisa katika mpambano wao wa tatu wa uzito wa welterweight.
                Bondia Timothy akienda chini baada ya kupigwa ngumi na Pacquiao
                                                  Timothy chali ngumi ilikuwa nzito si mchezo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni