.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 10 Aprili 2016

FATAKI ZALIPUKA KWENYE HEKALU NCHINI INDIA NA KUUWA WATU 100

Mlipuko na moto uliochochewa na fataki umeuwa watu wapatao 100 katika hekalu la wa Hindu katika jimbo la Kerala nchini India.

Fataki hizo ambazo zilikuwa zitumiwe kusherehekea mwaka mpya wa jimbo hilo, zililipuka siku ya jana.

Jengo katika hekalu hilo pia likaanguka, na kusababisha vifo vingi, zaidi ya watu 200 wamejeruhiwa. Waziri Mkuu wa India Narendra Modi ataenda eneo la tukio hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni