Mwenyekiti wa kikao cha Makatibu wa Mabunge wa Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashilila akiongoza kikao cha maandalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki leo jijini Arusha.
Mwenyekiti wa kamati ya maadalizi ya mkutano wa Maspika wa Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashilila (kushoto) akiongoza kikao hicho leo jijnii Arusha. Kulia ni Katibu wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Bw. Keneth Madete.
Mwenyekiti wa kikao cha Makatibu wa Mabunge wa Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashilila (wa kwanza kulia) akiwa na baadhi ya Makatibu wa Mabunge ya Afrika Mashariki wakiwa Jijini Arusha. Wa kwanza kushoto ni Katibu wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) Bw. Keneth Madete na Katibu wa Bunge la Kenya Bw. Justine Bundi (katikati).



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni