.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 4 Aprili 2016

KIONGOZI WA MAGAIDI WA KUNDI LA ANSARU AKAMATWA NCHINI NIGERIA

Kiongozi wa kundi la Ansaru lenye ushirikiano na kundi la kigaidi la al-Qaeda amekamatwa nchini Nigeria, mamlaka za nchi hiyo zimesema.

Msemaji wa jeshi la Nigeria amesema mtu huyo Khalid al-Barnawi amekamatwa katika mji Lokoja, ambao ni mji mkuu wa jimbo la Kogi.

Marekani ilikuwa imetenga zawadi ya dola milioni 5, kwa atakayefanikisha kukamatwa kwake baada ya kumtaja kama mmoja wa magaidi wakuu watu duniani wanaoishi Nigeria.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni