.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 4 Aprili 2016

NAIBU RAIS WA AFRIKA KUSINI AREJEA NYUMBANI SALAMA BAADA YA HITILAFU YA NDEGE

Naibu rais wa Afrika Kusini Bw. Cyril Ramaphosa amerudi salama kwa usafiri wa gari nyumbani kwake Jijini Johannesburg.

Hii ni baada ndege yake kupata hitilafu za kiufundi ikiwa angani akitokea White River huko Mpumalanga kwenda Kikosi cha Anga cha Waterkloof usiku wa jumapili.

Rais Jacob Zuma na Naibu wake wamekuwa wakikumbana na matatizo ya ndege za Kikosi cha Ulinzi cha Afrika Kusini.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni