.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 4 Aprili 2016

SAUDI ARABIA YANYONGA WATU 82 WALIOTIWA HATIANI KATIKA MWAKA HUU

Nchi ya Saudi Arabia imetekeleza adhabu ya kifo kwa raia wake aliyetiwa hatiani kwa mauaji siku ya Alhamisi na kufanya idadi ya watu waliouwawa kwa adhabu hiyo kufikia 82 katika mwaka huu.

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imesema mtu huyo Mohammed al-Khaweir al-Qahtani alitiwa hatiani kwa kumpiga risasi na kumuua Hussein al-Shayeb al-Qahtani kufuatia ugomvi baina yao.

Serikali ya Uingereza imekuwa ikiyahimiza makundi ya kutetea haki za binadamua kuishinikiza Saudi Arabia kusitisha adhabu hiyo ya kikatili.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni