.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 6 Aprili 2016

MAHOJIANO YA BUBELWA BANDIO NA MGOMBEA UWAKILISHI NCHINI MAREKANI WILL JAWANDO

Mgombea uwakilishi katika Bunge la Marekani William Jawando alihojiwa na Mubelwa Bandio katika studio za Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland
nchini Marekani. Mbali na mambo mengine, alizungumzia kuhusu mikakati yake katika  kuisaidia diaspora ya Afrika katika eneo lake na Marekani kwa ujumla. Ikumbukwe kwamba 10% ya wazaliwa wa Afrika wanaoishi Marekani, wapo katika jiji la Washington DC.
                                                             
                                                                 Karibu ufuatilie mahojiano haya

                                            https://www.youtube.com/embed/hNxGS49RGcM

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni