.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 6 Aprili 2016

PRINCE ABUU LEVY AACHIA ALBAMU YAKE IITWAYO "NAKUABUDU".

Prince Abuu Levy ni Mwimbaji wa Muziki wa Injili nchini Tanzania, mwenye karama kubwa ya uimbaji hususani uimbaji wa kusifu na kuabudu. Kupitia karama hiyo, anao ujumbe murua kwa ajili yako mwana Mungu kupitia wimbo uliobeba jina la albamu yake uitwao NAKUABUDU.

Ameiambiwa Binagi Blog kwamba “Dvd za Albamu yangu iitwayo Nakuabudu zinapatikana kwa shilingi 5,000 kote nchini ambapo albamu yangu ina nyimbo tano na inasambazwa na Pal Music Service ambao wanapatikana kwa mawasiliano ya simu 0754 742 181 au Email palmusicservice@gmail.com”.

                                                            
                                                           Bonyeza Hapa Chini Kusikiliza.

                             http://www.hulkshare.com/embed.php?fn=jtky9iydpgcg

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni