.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 6 Aprili 2016

PRINCE HARRY ASHIRIKI KATIKA UJENZI WA SHULE ILIYOBOMOLEWA NA TETEMEKO NEPAL

Mwana wa familia ya kifalme ya Uingereza Prince Harry amekamilisha ziara yake ya kushirikiana na taasisi ya misaada ya kujitolea kwa kujenga shule iliyobomolewa na tetemeko kali la mwaka jana katika kijiji kimoja nchini Nepal.

Prince Harry aliungana na taasisi hiyo ya kusaidia majanga kwa kukaa siku sita kusaidia jamii iliyoathiriwa na tetemeko hilo, ili kuwasaidia watoto kuachana na kusoma chini ya mabanda yaliyojengwa kwa turubai na mabati ya mapipa.
                                  Prince Harry akimwaga zege wakati wa ujenzi wa shule

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni