.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 21 Aprili 2016

MALKIA ELIZABETH ATEMBELEA MITAA YA WINDSOR AKIADHIMISHA MIAKA 90

Malkia Elizabeth wa Uingereza amepokelewa na kundi la watu waliokuwa wakiimba 'Happy birthday Queenie' katika mitaa ya Windsor wakati alipofika katika mitaa hiyo.

Malkia Elizabeth anasherehekea kutimiza miaka 90 hii leo, alifika katika mitaa ya Windsor akiambatana na mumewe kwenye gari lenye uwazi kwa juu.
                                         Malkia Elizabeth akiwa na mumewe kwenye gari
    Malkia Elizabeth akipongezwa kwa kupewa mashada ya maua kwa kufikisha miaka 90
                                     Pongezi zilizoambatana na zawadi za maua zikiendelea
   Kikosi cha askari wa utawala wa Kifalme wa Uingereza kikikatiza mitaa ya Windsor

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni