.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 21 Aprili 2016

MKUU WA MKOA WA LINDI AMEMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LINDI

Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Godfrey Zambi jana amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi, Bi Oliva Vavunge kutokana na Kutosimamia Mradi wa Umwagiliaji na Ujenzi wa Banio katika Kijiji cha Narunyu Kata ya Kiwalala Lindi. Picha na Abdulaziz Lindi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni