Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela alimuwakilisha Mkuu wa mkoa wa Iringa katika mazishi mke wa Mkuu wa mkoa mstaafu Mh Erasto Mbwillo, Afisa Elimu Mbeya Vijijini Mama Margareth Mgimwa Mbwilo.
Msiba huo uliondeshwa na Makamu Mkuu wa Chuo Padri Dr Mgimwa, pia uliudhuriwa na Jaji Mkuu Mh. Chande Othman, Mtendaji Mkuu wa Mahakama Bwana Katanga, Mkuu wa Mkoa Simiyu Bwana Anthony Mtaka, Wakuu wa wilaya Makete- Mh Daud Yassin, Rungwe Mh Zainab Mbiro na Songea Mh Mpesya pamoja na viongozi wengine wengi wakiwemo wastaafu wakiongozwa na aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya mstaafu Mh Abbas Kandoro.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni