.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 9 Aprili 2016

MAREKANI KUSIMAMIA MIRADI YA KIJAMII PEMBA

Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba,Mhe Hemed Suleiman Abdalla , akikata Utepe kuashiria kufunguwa jengo la madarasa sita huko katika Kijiji cha Matale , lilijengwa na Serikali ya Marekani kupitia Jeshi lake.
Msimamizi wa Miradi wa huduma za Kijamii inayosimamiwa na Jeshi la Marekani, LT. Ruben Lopez, akitowa maelezo juu ya ujenzi wa mradi wa skuli hiyo iliogharimu Dola za Kimarekani 226,000/=.
Msimamizi wa Miradi ya Huduma za Kijamii, inayosimamiwa na Jeshi la Marekani Kisiwani Pemba LT, Ruben Lopez, akikaguwa Ujenzi wa Mradi huo wa jenzi wa ukuta wa kuzuwia mmomonyoko wa ardhi katika Skuli ya Matale Pemba.(Picha na Bakar Mussa-Pemba.)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni