.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 19 Aprili 2016

MH. HAMAD RASHID AWATEMBELEA NA KUWAPA POLE WANANCHI WALIOATHIRIWA NA MAFURIKO TOMONDO

Waziri wa Kilimo Mifugo Uvuvi na Maliasili Mhe Hamad Rashid akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakati alipofika kuwafariji Wananchi wa Tomondo kwa kupa maafa ya kujaa kwa maji nyumba zao yaliosababishwa na Mvua za Masika zilizonyesha hivi karibuni. katika visiwa vya Zanzibar.
Mwananchi wa Tomondo akivushwa kwa kutumia beseni kwa ada ya shilingi 1000/= kuelekea upande wa pili.
Wananchi wa Tomondo wakiwa katika boto wakipata msaada wa kuvushwa katika eneo hilo kwenda ngambu ya pili kutokana na kujaa kwa maji na nyumba nyingi kukumbu na hali hiyo.
Wananchi wa eneo la Tomondo ziwa maboga wakivushwa kwa kutumia boti kwa ada ya shilingi 1000/= kwa mtu mmoja kutokana na kujaa kwa maji katika eneo hilo.
Eneo la ziwa mabogo likiwa limefurika maji kutokana mvua za masika zinazoendelea kunyesha katika maeneo ya Visiwa vya Zanzibar na kulata maafa kwa Wananchi wa maeneo yaliokumbwa maafa hayo. Kwa hisani ya ZanziNews

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni