.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 12 Aprili 2016

MKE AMPONZA ASKARI WA ZIMAMOTO KWA KUVAA SARE ZAKE ZA KAZI

Askari wa Zimamoto wa New Mexico nchini Marekani anaweza akapoteza kibarua baada ya mkewe kupiga picha akimnyonyesha mtoto wao akiwa kavaa sare za Zimamoto na kuituma kwenye mtandao.

Idara ya Zimamoto ya Las Cruces imekiambia chombo kimoja cha Marekani kuwa askari huyo wa zimamoto anaweza kukabiliwa na hatua za kinidhamu kutokana na picha hiyo ya mkewe.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni