.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 12 Aprili 2016

NYOKA MWENYE UREFU WA FUTI 26 NA KILO ZAIDI YA 250 AKAMATWA NCHINI MALAYSIA

Joka kubwa lenye urefu wa futi 26 limepatikana nchini Malaysia na anaweza kuweka rekodi ya kuwa nyoka mrefu kuwahikukamatwa.

Picha ya nyoka huyo imetolewa watumishi wa umma wa Malaysia, ikionyesha wafanyakazi hao wakiwa wamepiga picha na nyoka huyo mwenye kilo zaidi ya 250.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni