.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 14 Aprili 2016

MKUU WA WILAYA YA IRINGA MJINI RICHARD KASESELA AJICHANGANYA NA WANACHUO WA RUCU KATIKA KIKAPU

Mkuu wa wilaya Iringa Bwana Richard Kasesela, baada ya kazi leo alijiunga na wana chuo cha RUCU kucheza mpira wa kikapu. Mchezo ambao alikuwa akicheza enzio hizo. Mkuu huyo wa wilaya aliahidi kuukuza mchezo huo Iringa.
Mkuu wa wilaya Iringa Bwana Richard Kasesela akionyesha uwezo wake wa kumiliki mpira wakati akicheza mpira wa kikapu na wanafunzi wa chuo cha RUCU.



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni