Watu kadhaa wamekufa na wengine
zaidi ya 200 kujeruhiwa katika shambulizi la bomu la kutumia silaha
lililofanywa katika wilaya tajiri ya Jiji la Kabul nchini
Afghanistan.
Picha zimeonyesha majengo
yaliyolipuliwa yakiwa na moshi mzito unaoelekea anagani, baada ya
kutokea kwa shambulizi hilo ambalo kundi la Taliban limekiri kuhusika
nalo.
Rais Ashraf Ghani ameshutumu vikali
shambulizi hilo lililofanyika baada ya wiki chache tu tangu kikundi
cha wapiganaji wa taliban kutangaza kuanza mashambulizi ya kikagidi
kwa kasi.
Wanajeshi wakiwa katika eneo la tukio kutoa msaada
Mtu aliyejeruhiwa akipatiwa matibabu hospitalini
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni