.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 11 Aprili 2016

RAIS DK. MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA, ANNE KILANGO MALECELA

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela kutokana na kutoa taarifa za uongo kuwa mkoa huo haukuwa na watumishi hewa.

Mbali ya mkuu huyo wa mkoa, pia uteuzi wa Katibu Tawala wa mkoa huo nao umetenguliwa.
Anne Kilango Malecela

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni