.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 9 Aprili 2016

REAL MADRID YAICHAKAZA EIBAR WAKATI RONALDO AKIFIKISHA GOLI LA 30

Cristiano Ronaldo amefunga goli lake la 30 katika msimu huu kwenye Ligi Kuu ya Hispania ya La Liga wakati wakati Real Madrid ikiichakaza Eibar kwa mabao 4-0, na kukwea pointi nne nyuma ya vinara Barcelona.

Katika mchezo huo James Rodriguez alifunga bao la kwanza kwa mpira wa adhabu, na kisha Cristiano Ronaldo kumtengea Lucas Vasquez aliyepachika bao la pili na baadaye naye kufunga la tatu na Jese kufunga la nne.
                 Lucas Vasquez akiachia shuti lililojaa wavuni na kuandika bao la pili
                                                        Jese akipachika bao la nne la Real Madrid

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni