.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 5 Aprili 2016

REAL MADRID YENYE KUJIAMINI YAKWEA PIPA KUELEKEA UJERUMANI

Timu ya Real Madrid imekwea pipa kwenda Ujerumani tayari kwa mchezo wao wa kwanza wa wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Wolfsburg, huku wachezaji wake wakiwa kwenye hali nzuri baada ya kuichapa Barcelona mwishoni mwa wiki.

Cristiano Ronaldo alifunga goli lake la tisa katika dimba la Nou Camp katika mchezo wao wa El Clasico na kuifanya Real kupunguza pengo la pointi na kubakia saba tu dhidi ya Barcelona, na kujiamini kumeongezeka wakati wakielekea Ujerumani kwa safari ya saa nne na nusu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni