.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 5 Aprili 2016

BUNGE LA AFRIKA KUSINI KUPIGA KURA YA HOJA YA KUMG'O RAIS ZUMA

Bunge la Afrika Kusini linatarajia kupigia kura hoja ya kambi ya upinzani ya kumbana rais Jacob Zuma ang'okea madarakani.

Chama cha Democratic Alliance (DA) kimesema rais Zuma hafai kuendelea kuongoza baada ya mahakama ya juu wiki iliyopita kusema alivunja Katiba kwa kushindwa kurejesha fedha za umma zilizotumika kukarabati nyumba yake binafsi.

Chama tawala cha African National Congress (ANC) kinatarajiwa kuidhibiti hoja hiyo ya upinzani isipite.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni