Makamu wa rais wa Kenya William Ruto anatarajia
kubaini kama kesi uhalifu dhidi ya binadamu inayomkabili itaondolewa
na Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) watakapotoa
uamuzi.
Ruto amekana kuhusika na mashtaka ya mauaji pamoja
na kutumia vitisho katika kipindi cha machafuko yalitotokea nchini
Kenya baada ya kufanyika uchaguzi mkuu wa mwaka 2007 ambapo watu
1,200 waliuwawa.
Wakili wake anataka kesi hiyo kufutwa kutokana na
kukosekana kwa ushahidi. Ruto ni mmoja wa maafisa wa ngazi za juu wa
serikali ya Kenya kushitakiwa mahakama ya ICC.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni