Katika taarifa hiyo,
Mhandisi Makale amebainisha kuwa Takukuru imepokea jumla ya malalamiko
45 yanayohusiana na vitendo vya rushwa kutoka kwa wananchi ambapo katika
malalamiko hayo, 27 yameelekezwa kwa watumishi wa idara za Serikali za
Mitaa TAMISEMI hiyo ikiwa ni sawa na asilimia 60.
Kati ya malalamiko
hayo 27, malalamiko 13 yameelekezwa katika idara ya
ardhi.
Zaidi Bonyeza hapa
http://binagimediagroup.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni