.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 4 Aprili 2016

TIMU YA CHELSEA YAMTWAA KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA ITALIA

Timu ya Chelsea imemteuwa kocha wa Italia Antonio Conte kuwa kocha wake mkuu kuanzia kipindi cha majira ya joto.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 46 aliyewahi kuinoa Juventus ataanza kibarua chake kipya baada ya taifa lake kushiriki michuano ya Euro 2016.

Kocha Guus Hiddink, aliyechukuwa nafasi ya Jose Mourinho aliyetimuliwa kibarua ataendelea kuinoa Chelsea hadi mwisho wa msimu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni