.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 11 Aprili 2016

UVIVU WAMPONZA BALOZI WA HISPANIA NCHINI UBELGIJI

Balozi wa Hispania nchini Ubelgiji amevuliwa madaraka yake kufuatia madai ya kutofika kazini pamoja na matumizi mabaya ya madaraka.

Hata hivyo hakuna taarifa rasmi iliyotolewa kuhusiana na kuvuliwa madaraka yake balozi huyo Ignacio Jesus Matellanes Martinez.

Taarifa zisizo rasmi zimesema kutofika kazini na kutokuwa na moyo wa kufanya kazi kumeufanya ubalozi huo kushindwa kutimiza majukumu yake.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni