Mkuu wa Idara ya Fedha katika kiwanda cha Tanga Fresh BW. Clemence Winfredy akiukaribisha ujumbe wa wafanyabiasha kutoka Oman waliotembelea kiwanda hicho ili kujionea shughuli za uzalishaji
Wakiangalia na kupokea maelezo namna uzalishaji wa maziwa unavyofanyika hadi hatua ya kufungasha na kwenda sokoni
Clemence Winfredy akiwasilisha taarifa ya shughuli za uzalishaji wa kiwanda pamoja na kuainisha fursa za uwekezaji zinazopatikana katika kiwanda hicho
Sehemu ya wafanyabishara wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa ambapo pia waliweza kushauri baadhi ya maboresho kwaajili ya kuongeza uzalishaji na usindikaji wa maziwa
Matanki kwaajili ya kuhifadhia maziwa yaliyokwisha kamilisha hatua zote za utayarishaji na kuwa tayari kwa kufunga
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni