.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 12 Aprili 2016

WANANDOA WAONYESHA KEKI ZA AJABU WALIZOLETEWA SIKU YA HARUSI ZAO

Baadhi ya wanandoa wametoa picha za keki ambazo wanasema ziliwashangaza walipoletewa kwa ajili ya harusi zao.

Je, unafikiri kuwa hizi ni miongoni mwa keki mbaya zaidi kuwahi kuziona katika sherehe za harusi ?. 
                     Keki yenye macho, sikio na vidole vilivyokatwa pamoja na panya
                Keki ya Bibi Harusi akimzuia Bwana Harusi asikimbie
                 Keki iliyochomekwa majambia na damu zinazochuruzika
 Hii nayo sijui ni ya mwana Yanga njano mpaka basi 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni