.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 17 Aprili 2016

WATU 140 WAUWAWA NCHINI ETHIOPIA NA 39 KUTEKWA

Nchi ya Ethiopia imesema kuwa watu wenye silaha wamewauwa watu 140 karibu na mpaka wake na Sudani Kusini na kuteka watoto 39.

Waziri wa Mawasiliano wa Ethiopia Getachew Reda amesema washambuliaji hao ni wa kutoka kabila la Murle la Sudani Kusini.

Reda amesema vikosi vya usalama vya Ethiopia vinawakimbiza washambuliaji hao na tayari vimewauwa 60.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni