.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 11 Aprili 2016

WATU WAHOFIWA KUFA BAADA YA JENGO KUANGUKA JIJINI KAMPALA

Mwili mmoja umepatikana baada ya jengo la ghorofa kuanguka katika Jiji la Kampala nchini Uganda.

Waokoaji wameshaokoa watu saba kutoka kwenye vifusi wakiwa hai, kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo.
                          Polisi akiungana na baadhi ya watu kuchungulia kwenye kifusi
                                       Waokoaji wakiwa juu ya eneo la jengo hilo lililoanguka
                       Mwanamke akiangua kilio katika eneo ambalo jengo limeanguka

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni